INDISPONIBLE Livre numérique Lala salama, mbwa mwitu mdogo – Sleep Tight, Little Wolf (Kiswahili – Kiingereza)

Lala salama, mbwa mwitu mdogo – Sleep Tight, Little Wolf (Kiswahili – Kiingereza) — Ebook

Kitabu cha watoto cha lugha mbili, na audiobook

Auteurs : Ulrich Renz, Faithful Haule, Sefa Agnew, Gemma Martin ,
Publication : 01/11/2019
Langue : English
Pages : 28
Éditeur : Sefa Verlag
Collections : www.childrens-books-bilingual.com
ISBN : 9783739919034
Catégories : Éducation / Éducation bilingue, Étude des langues étrangères / Anglais comme deuxième langue

Kitabu cha watoto cha lugha mbili (Kiswahili – Kiingereza), na audiobook Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... "Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50 na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo. ♫ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! ► MPYA: Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Bilingual children's picture book (Swahili – English), with audio Tim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night – and unexpectedly encounters some friends... "Sleep Tight, Little Wolf!" is a heart-warming bedtime story. It has been translated into more than 50 languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages. ♫ Listen to the story in both languages, read by native speakers! ► NEW: With pictures to color! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.

Détails du livre numérique

Format de fichier Protection Services 7switch
ePub Tatouage Aucun
Mobipocket Tatouage Send-to-Kindle
Version Web Aucun

Commentaires

Indisponible